Chuo Kikuu cha Harvard
(Elekezwa kutoka Harvard University)
Harvard ni chuo kikuu maarufu nchini Marekani, kilichoanzishwa mnamo mwaka 1636 katika Cambridge, Massachusetts.
Viungo vya Nje
hariri
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Harvard kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |