Harvey Daniel James Elliott (alizaliwa 4 Aprili 2003) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Liverpool F.C..

Harvey Elliott
Harvey Elliott
Maelezo binafsi
Jina kamili Harvey Daniel James Elliott
Tarehe ya kuzaliwa 4 Aprili 2003
Mahala pa kuzaliwa    Chertsey, England, Chertsey, England
Urefu 5 ft 7 in (1.70 m
Nafasi anayochezea Kiungo
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Liverpool
Namba 19
Timu ya taifa
Uingereza

* Magoli alioshinda

Baada ya kuchipukia kutokea akademi ya Liverpool ya Fulham, Elliott alicheza mechi yake ya kwanza katika kikosi cha kwanza cha Fulham mnamo Septemba 2018, na kuwa mchezaji mdogo zaidi kucheza Kombe la EFL, mwenye umri wa miaka 15 na siku 174.

Maisha

hariri

Elliott alizaliwa Chertsey, huko Surrey.[1] Alipenda soka tangu akiwa mdogo na alikua akiiunga mkono na kuishabikia Liverpool.[2] His father, Scott, would tutor him so he could develop a professional attitude towards training.Baba yake, Scott, alikuwa akimfundisha kuwa na nidhamu na mpira na mazoezi.[3] Elliott alijiunga na akademi ya vijana ya Queens Park Rangers akiwa na umri mdogo.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Harvey Elliott". 11v11.com. AFS Enterprises. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Iskanderoff, Donat (30 Julai 2019). "Hatvey Elliott seems to have been born a Red". Tribuna.com. Iliwekwa mnamo 9 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 Bocsak, Bence (18 Februari 2021). "The inside story of Harvey Elliott: Made in the South, thriving in the North". First Time Finish. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-11. Iliwekwa mnamo 9 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harvey Elliott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.