Hassan Mtenga

Mbunge wa Mtwara Mjini

Hassan Mtenga (kutoka Mkoa wa Mtwara) ni mwanasiasa wa Tanzania ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi jimbo la Mtwara Mjini tangu Novemba 2020. [1]

Marejeo hariri

  1. "CCM dominates Parliamentary, Ward seats in Mtwara Region". Daily News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-04. Iliwekwa mnamo 2021-09-01.