Heinrich Böll

Tuzo Nobel.png

Heinrich Theodor Böll (21 Desemba 191716 Julai 1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1972 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Sanamu ya Heinrich Böll katika mji wa Berlin.
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Böll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.