Heinrich Otto Wieland

Heinrich Otto Wieland (4 Juni 18775 Agosti 1957) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Alihariri kumbukumbu za kikemia za Justus von Liebig. Pia alichunguza mifumo ya kikemia ya sumu za uyoga na asidi ya nyongo. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Heinrich Otto Wieland (1927)


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heinrich Otto Wieland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.