Hellen Lukoma
Muigizaji, mwanamitindo, mbunifu wa mitindo na mwimbaji raia wa Uganda
Hellen Lukoma ni mwigizaji, mwanamitindo, mbunifu wa mitindo na mwimbaji raia wa Uganda. Anajulikana sana kwa uigizaji wake kama Patra kwenye filamu ya The Hostel[1],Hellen Mutungi katika filamu ya Beneath The Lies.[2] Alipata umaarufu kama mshiriki wa kikundi cha muziki cha wasichana cha The Obsessions kabla ya kuanza kuwa mwanamitindo, ubunifu wa mitindo na uigizaji.[3][4]
Marejeo
hariri- ↑ "Date with a celeb: Hellen Lukoma meets fan, Robert Kiiza Omuganda". Squoop. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Hellen Lukoma On Her Role In 'Beneath The Lies'". Lockerdome.
- ↑ "Hellen Lukoma Biography". Loudest Gist. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-17. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "DANCER and SINGER in the Former OBSESSIONS HELLEN LUKOMA launches clothing line at Silk Lounge's Genesis Nite". Howe We.