Henri Bergson (18 Oktoba 18594 Januari 1941) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Henri Bergson
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Bergson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.