Henriette Davidson Avram (Oktoba 7, 1919 -Aprili 22, 2006) alikuwa mchunguza mifumo na programu za kompyuta aliyetengenza mpangilio wa mashine kusoma katalogi, ni mfumo wa kimataifa wa kuhifadhi data na bibliografia na taarifa zilizoshikiliwa na maktaba.

Maendeleo ya mpangilio wa katalogi ulibadilisha kabisa mfumo wa utunzaji wa kumbukumbu na taarifa kwenye maktaba ya kongresi kati ya mwaka 1960 hadi miaka ya 1970[1].

Marejeo

hariri
  1. Schudel, Matt (2006-04-28), Henriette D. Avram; Transformed Libraries (kwa American English), ISSN 0190-8286, iliwekwa mnamo 2022-07-28