Henry Cuesta
Henry Falcon Cuesta, Sr. (alizaliwa 23 Desemba 1931 – 17 Desemba 2003) alikuwa mwanamuziki wa ala za upepo wa Marekani na mshiriki wa kipindi cha The Lawrence Welk Show.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Mis'ry and the Blues", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-04-03, iliwekwa mnamo 2024-12-04