Henry Lawson Wyatt

Henry Lawson Wyatt (Februari 12, 1842 – Juni 10, 1861), alikuwa askari wa Confederate wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani.

Sanamu ya Wyatt katika Union Square mnamo 2011

Alifariki katika mapigano vya Big Bethel, moja ya mapigano ya mwanzo ya vita hivyo, na kumfanya kuwa askari wa kwanza kutoka North Carolina kufa vitani.[1]

Marejeo

hariri
  1. Magazine of Western History (kwa Kiingereza). 1893. ku. 56–59. Iliwekwa mnamo 28 Juni 2020.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry Lawson Wyatt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.