Herbert Sebastian Agar (29 Septemba 189724 Novemba 1980) alikuwa mwanahistoria na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The People's Choice.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Agar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.