Herbert Hauptman
Herbert Aaron Hauptman (amezaliwa 14 Februari 1917) alikuwa mwanahisabati kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elimu ya fuwele. Mwaka wa 1985, pamoja na Jerome Karle alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herbert Hauptman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |