Hereni ni mapambo yanayovaliwa masikioni.

Mama Maasai akivaa hereni
Aina za hereni dukani

Kuna aina nyingi za hereni katika tamaduni mbalimbali. Zatengenezwa kwa metali lakini pia kwa kutumia ubao, mfupa au kioo pamoja na vito au lulu.

Tamaduni zatofautiana kama hereni huvaliwa zaidi na wanawake, wanaume au jinsia zote mbili.