Hermel (kwa Kiarabu: الهرمل ) upo kwenye mji Baalbek-Hermel nchini Lebanon. Ni mji mkuu wa wilaya ya Hermel. Ndiyo sehemu ilipo taasisi ya Msalaba Mwekundu.[1]

Lebanon adm location map
Piramidi ya Kamouh el Hermel, kusini mwa Hermel, Lebanoni
Piramidi ya Kamouh el Hermel, kusini mwa Hermel, Lebanoni

Ni mji ambao waakazi wengi ni Waislamu wa dhehebu la Shia.[2] Kuna piramidi ya kale inajulikana kama Kamouh el Hermel iliyopo kilomita kama 6 kusini mwa mji ni kivutio cha watalii wa ndani.

Marejeo hariri


34°23′29″N 36°23′45″E / 34.39139°N 36.39583°E / 34.39139; 36.39583