Hexachlorophene

Mchanganyiko wa kemikali

Hexachlorophene, pia inajulikana kama pHisoHex, ni dawa ya kuua vimelea vya magonjwa (antiseptic) ambayo ilitumiwa na wafanyikazi wa afya kusafisha mikono yao kabla ya upasuaji.[1] Kabla ya miaka ya 1970, ilitumika pia kuosha watoto wachanga.[2] Dawa hii inatumika kwa ngozi.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na ugonjwa wa ngozi, kuchomwa na jua na ngozi kavu.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha sumu ya neva (neurotoxicity) na kifafa na uwezekano wa kifo.[1] Kiasi chake kidogo huzuia ukuaji wa bakteria; hata hivyo ni jinsi hili linavyotokea haijulikani.[1]

Hexachlorophene ilianza kutumika katika matibabu mwaka wa 1948.[3] Nchini Marekani, chupa ya mililita 150 ya myeyusho wa 3% iligharimu karibu dola 36 za Marekani.[4] Baadaye, ilikomeshwa nchini Marekani na nchi zingine nyingi.[1][5]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 "Hexachlorophene Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Martin, Richard J.; Fanaroff, Avroy A.; Walsh, Michele C. (4 Oktoba 2010). Fanaroff and Martin's Neonatal-Perinatal Medicine E-Book: Diseases of the Fetus and Infant (kwa Kiingereza). Elsevier Health Sciences. uk. 828. ISBN 978-0-323-08111-5. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Pilapil, Virgilio R. (1 Machi 1966). "Hexachlorophene Toxicity in an Infant". Archives of Pediatrics & Adolescent Medicine. 111 (3): 333. doi:10.1001/archpedi.1966.02090060143023. {{cite journal}}: |access-date= requires |url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "PHisoHex Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Mehlhorn, Heinz (2008). Encyclopedia of Parasitology: A-M (kwa Kiingereza). Springer Science & Business Media. uk. 1442. ISBN 978-3-540-48994-8. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-11. Iliwekwa mnamo 2021-12-10.
  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hexachlorophene kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.