Hifadhi ya Kalambatritra

Hifadhi Maalum ya Kalambatritra ni hifadhi ya wanyamapori kusini mwa Madagaska . Iko kaskazini mwa Hifadhi ya taifa ya Andohahela, kusini-magharibi mwa Hifadhi Maalum ya Manombo na ina aina nyingi za asili, pamoja na aina arobaini na tano za ndege.[1]

ramani ya hifadhi maalum ya Kalambatritra
ramani ya hifadhi maalum ya Kalambatritra

Picha hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Kalambatritra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.