Hifadhi ya Mazingira ya Kalkfontein

Hifadhi ya Mazingira ya Kalkfontein, iko katika sehemu ya kusini kabisa ya Dola Huru, ya Afrika Kusini, kwenye barabara (R701) katikati ya Bethulie na Smithfield kama km15 kutoka Bethulie, ambapo Mto Orange na Mto Caledon hukutana.

Wanyamapori hariri

Kuna wanyama mbalimbali kama vile blesbok, nyumbu mweusi, springbok, eland, rhebok wa kijivu, gemsbok, reedbuck, impala, kudu, nyumbu mwekundu na pundamilia, nyati wa Cape, vifaru weupe wa kusini na vifaru weusi.

Angalia pia hariri

Idara: Utalii. [1]

Marejeo hariri