Hifadhi ya Msitu wa Amber
Hifadhi ya Msitu wa Amber ni hifadhi ya wanyamapori ya Madagaska .
Jina linatokana na maua ya miti fulani, ambayo hufunika mlima na kuangaza kwa amber kutoka mbali. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Amber mountain national park". MADAMAGAZINE (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-08-25.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Msitu wa Amber kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |