Hifadhi ya Taifa ya Iriqui

Hifadhi ya Taifa ya Iriqui ilianzishwa mwaka 1994 kama mbuga ya kitaifa huko Morocco inaukubwa wa hekta 123,000.

Hifadhi ya Taifa ya Iriqui

Mahali hariri

Hifadhi ya Taifa ya Iriqui ipo kati ya Mto Draa na upande wa kusini katika majimbo ya Zara na Tata.[1]

Marejeo hariri

  1. "Parc National d’lriqui". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-06. Iliwekwa mnamo 18 August 2013.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)