Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Day

Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Day,(Pia huitwa Hifadhi ya taifa ya Forêt du Day ) ni mbuga ya taifa katika milima ya Goda katika mkoa wa Tadjourah nchini Djibouti . [1]

Mimea hariri

 
Mimea ya Hifadhi ya taifa ya Msitu wa Day.

Pamoja na Mlima Mabla, Mbuga ya taifa ya Forêt du Day ni mojawapo ya maeneo mawili ya Djibouti ya misitu inayolindwa. [2] Inalinda kisiwa muhimu cha msitu katika bahari ya nusu jangwa.

Wanyama hariri

Wanyama wanaopatikana katika hifadhi ni pamoja na spurfowl wa Djibouti ( Pternistis ochropectus ), idadi kubwa ya pytilia wenye mabawa ya kijani pamoja na ndege wa ajabu wa Tôha sunbird[3]

Marejeo hariri

  1. Ham, Anthony; Bainbridge, James (2010-07-30). Lonely Planet Africa. Lonely Planet. ku. 653–. ISBN 9781741049886. Iliwekwa mnamo 3 November 2012.  Unknown parameter |url-access= ignored (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Djibouti - Forestry". Djibouti Wildlife. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 October 2013. Iliwekwa mnamo 27 November 2013.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-05. Iliwekwa mnamo 2014-04-15.