Hifadhi ya Taifa ya Nsumbu

Hifadhi ya Taifa ya Nsumbu (pia huitwa Sumbu ) iko kwenye ufuo wa magharibi wa Ziwa Tanganyika karibu na ncha ya kusini, katika Mkoa wa Kaskazini wa Zambia . Ina eneo la kilomita za mraba 2000. [1]

Wanyama

hariri

Mamba, kiboko, bushbuck, nguruwe, sheshe, swala roan, swala sable, eland, kore, nyati, pundamilia, fisi mwenye madoadoa, mbweha, serval, impala, waterbuck, Reedbuck, tembo (mara kwa mara), simba (mara kwa mara), chui (mara kwa mara), duiker ya bluu (nadra), sitatunga (nadra) [2]

Marejeo

hariri
  1. Camerapix: "Spectrum Guide to Zambia." Camerapix International Publishing, Nairobi, 1996.
  2. Nsumbu National Park page on Zambia National Tourist Board website, accessed 25 June 2018.