Hifadhi ya Taifa ya Saadani
Hifadhi ya Saadani ni mojawapo kati ya hifadhi za taifa la Tanzania, ya 13 kutangazwa (2005) na ya pekee kupatikana kwenye Bahari ya Hindi[1]
Inaenea katika km2 1062 za Mkoa wa Tanga.
Picha
haririTazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Tanzania National Parks official website Saadani National Park Ilihifadhiwa 25 Mei 2012 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Saadani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |