Himaya (biolojia)

(Elekezwa kutoka Himaya)

Himaya (kwa Kiingereza: Kingdom) ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi.

Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.

Himaya ni migawanyiko ya domeni, halafu kila himaya imegawanyika katika faila kadhaa.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Himaya (biolojia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.