Hiroshi Amano
'
Hiroshi Amano | |
---|---|
Hiroshi Amano | |
Amezaliwa | 11 Septemba, 1960 |
Kazi yake | mwanafizikia kutoka nchi ya Japani |
Hiroshi Amano (amezaliwa 11 Septemba, 1960) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza dutu za nusu kipitishi na kubuni diodi ya kutoa nuru. Mwaka wa 2014, pamoja na Isamu Akasaki na Shuji Nakamura, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hiroshi Amano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |