Hisa (hisabati)
Hisa katika hisabati ni tokeo la mgawanyo au hesabu ya kugawanya namba moja kwa nyingine.
Kama swali ni 6 ÷ 3 basi hisa yake ni 2. Katika mfano huu 6 na 3 huitwa vigawanyo.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hisa (hisabati) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |