Hissan Muya ni mwigizaji, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa "Tino" kutoka katika filamu mbalimbali. Miongoni mwa filamu alichocheza ni pamoja na: Mimi na Mungu Wangu, Mr.Nobody, Justice on a Trap, Shoga Yangu, Siri ya Kijiji na Damu Moja.[1][2]

Hissan Muya
Amezaliwa Hissan Muya
Kazi yake Mwigizaji
Mwongozaji
Mtayarishaji

Baadhi ya filamu alizocheza hariri

Marejeo hariri

  1. Hissan Muya Archived 18 Mei 2013 at the Wayback Machine. katika wavuti ya Bongo Cinema.com
  2. Mitazama tofauti kuhusu filamu ya Shoga Yangu ya Tino katika blogu ya Zamaradi Mketema.