Hoima
Hoima ni mji mkuu wa Wilaya ya Hoima nchini Uganda.
Majiranukta: 01°25′55″N 31°21′09″E / 1.43194°N 31.35250°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Magharibi |
Wilaya | Hoima |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 36,800 |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 36,800.
Hoima ipo takriban kilomita 200 kwa barabara ,kaskazini-magharibi ya mji wa Kampala, barabara ya Hoima-Kampala imetengenezwa kwa kiwango cha lami.Majira-nukta ya Hoima ni 1°25'55.0"N 31°21'09.0"E (Latitude:1.431944; Longitude:31.352500).[1]
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hoima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |