Hoki (kutoka Kiingereza "Hockey") ni mchezo wa timu unaotumia mpira mdogo unaotakiwa kupigwa kwa magongo maalumu.

Mechi barafuni kati ya timu za Toronto Maple Leafs (weupe) na Washington Capitals (wekundu) mwaka 2017.

Inaweza kuchezwa ugani au juu ya barafu.

Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Hoki kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.