Shakeel Ahmed Shabbir Ahmed
Mwanasiasa wa Kenya
(Elekezwa kutoka Hon.Ahmed,Shakeel Ahmed Shabbir)
Shakeel Ahmed Shabbir Ahmed ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa chama cha chungwa (ODM). Alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Kisumu mjini kwa kushinda uchaguzi wa 2007 kwenye kaunti ya Kisumu hadi leo.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shakeel Ahmed Shabbir Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |