Honey Sri Isan (26 Oktoba 1971[1] - 26 Februari 1992) alikuwa mwimbaji wa Thailand. Alijulikana kwa nyimbo zake za kiasili na ballads za Mor lam. Mzaliwa wa Mkoa wa Kalasin.

Alipata ajali ya gari na kufariki mwaka 1992 katika Si Saket,akiwa na umri wa miaka 21[2][3].

Matamasha na ziara

hariri
  • Namta Lon Bon Tee Non
  • Won Phee Mee Rak Dieaw

Marejeo

hariri
  1. "ประชาชนแห่เดินทางมาไหว้ศาล "ฮันนี่ศรีอีสาน" อดีตศิลปินนักร้องชื่อดัง เชื่อให้โชค". 16 Agosti 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-22. Iliwekwa mnamo 2021-07-25.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "ครบรอบ 20 ปีการเสียชีวิตของแม่ฮันนี่ ศรีอีสาน น้องทรายเดินทางไปคารวะศาล". luktungmohlum.com.
  3. Cohen, Erik (1 Januari 2012). "Roadside Memorials in Northeastern Thailand". Omega (Westport). 66 (4): 343–63. doi:10.2190/OM.66.4.e. PMID 23785985. S2CID 9341696.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Honey Sri-Isan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.