Hugh wa Lincoln

Hugh wa Lincoln (Avalon[1] , Dauphiné, 1135/40 – London, 16 Novemba 1200), alikuwa mmonaki Mfaransa aliyefanywa askofu wa Lincoln nchini Uingereza[2].

Mt. Hugh wa Lincoln na ndege yake, Abbeville, Ufaransa (1500 hivi)

Tarehe 7 Februari 1220 alitangazwa na Papa Honorius III kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 16 Novemba, ila kwa Waanglikana ni 17 Novemba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.