Hugo Boucheron[1] (alizaliwa 30 Mei 1993) ni mpiga makasia mwakilishi wa Ufaransa, mshindi mara mbili kwenye Michezo ya Olimpiki na mashindano ya kidunia. Alishinda Tuzo mara mbili kwenye tukio la kushindana kupiga makasia ya mabingwa mwaka 2018 huko Plovdiv. Alishindana kwenye Tuzo ya wanaume wawiliwawili kwenye Olimpiki ya majira ya joto. [2]Akiwa pamoja na Matthieu Androdias alishinda medali ya dhahabu kwenye hayo mashindano huko Tokyo mwaka 2020[3].

Hugo Boucheron
Hugo Boucheron

Marejeo hariri

  1. "Hugo Boucheron Bio, Stats, and Results | Olympics at Sports-Reference.com". web.archive.org. 2020-04-17. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-28. 
  2. "Olympic". web.archive.org. 2016-08-06. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-28. 
  3. https://worldrowing.com/athlete/229e891e-3819-40e9-a5d3-af3511e69c98[dead link]