Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ ) ni jina la kutaja mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh huko nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la square kilometre 650 (sq mi 250).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]

Moja ya sehemu za mjini Hyderabad
Charminar katika Hyderabad

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Greater Hyderabad Municipal Corporation". GHMC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2011. 
  2. "Urban Agglomerations/Cities having population 1 lakh and above". Censusindia. The Registrar General & Census Commissioner, India. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hyderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.