INO Records

INO Records
Shina la studio Sony Music Entertainment
Imeanzishwa 2002
Nchi MarekaniMarekani
Mahala nje ya Nashville, Tennessee
Tovuti www.inorecords.com

Historia hariri

INO Records ni studio ya Marekani yenye makao yao nje ya Nashville, Tennessee. Studio hii inahusika sana na nyimbo za kisasa za Kikristo. Nyimbo zilizorekodiwa huko husambazwa kote duniani kwa kupitia Sony Records (wakati mwingine huwa imetajwa kama moja ya mashirika yake madogomadogo, Epic Records au Columbia Records). Inamilikiwa na Integrity Media tangu mwaka wa 2002. Pia hii ndiyo studio iliyoanzisha SRE Recordings, ambayo hujihusisha zaidi na nyimbo za Kikristo.

Wasanii wao wa hivi sasa hariri

Wasanii wa kitambo hariri

Angalia pia hariri

Viungo vya nje hariri