IUCN

shirika la kimataifa

IUCN ni kifupisho cha International Union for the Conservation of Nature yaani Umoja wa Kimataifa wa Kulinda Uasilia.

Hii ni nembo ya Umoja wa Kimataifa wa Uhifadhi wa Asili na Vikundi vya Usimamizi wa Eneo linalolindwa la IUCN.

Makao makuu yako Geneva, Uswisi.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu "IUCN" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.