I am Not Your Brother

"I am Not Your Brother" ni jina la filamu iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Jacqueline Wolper, Joseph Mzambala, Yekonia Watson, Mohammed Fungafunga. Filamu imeongozwa na Ema Daniel na kutayarishwa na Ombeni Kachota. Filamu inahusu kijana anayewaua wazazi wake ili aweze kurithi mali na mwisho wake unakuwa mbaya.[1]

I am Not Your Brother

Posta ya I am Not Your Brother
Imeongozwa na Ema Daniel
Imetayarishwa na Ombeni Kachota
Imetungwa na Joseph Msambala
Nyota Jacqueline Wolper
Joseph Mzambala
Yekonia Watson
Mohammed Fungafunga
Sinematografi Seve
Imesambazwa na Pilipili Entertainment
Imetolewa tar. 2013
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu I am Not Your Brother kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.