Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha

alipozaliwa
(Elekezwa kutoka Ibrahim Said Msabaha)

Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha (19 Februari 1951 - 13 Februari 2024) alikuwa mbunge wa jimbo la Kibaha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania[1] akitokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Ibrahim Saidi Rashidi Msabaha (27 Februari 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.