Ibrexafungerp
Ibrexafungerp, inayouzwa kwa jina la chapa Brexafemme, ni dawa ya kuzuia ukungu inayotumika kutibu maambukizi ya kuvu ukeni.[1] Inaweza kutumika kwa wanawake baada ya kuanza kwa hedhi,[1] na inachukuliwa kwa mdomo.[1]
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
(1R,5S,6R,7R,10R,11R,14R,15S,20R,21R)-21-[(2R)-2-amino-2,3,3-trimethylbutoxy]-5,7,10,15-tetramethyl-7-[(2R)-3-methylbutan-2-yl]-20-(5-pyridin-4-yl-1,2,4-triazol-1-yl)-17-oxapentacyclo[13.3.3.01,14.02,11.05,10]henicos-2-ene-6-carboxylic acid | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Brexafemme |
AHFS/Drugs.com | Monograph |
Taarifa za leseni | US Daily Med:link |
Kategoria ya ujauzito | Haipendekezwi[1] |
Hali ya kisheria | ? (US) |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa njia ya mdomo, kupitia mshipa |
Data ya utendakazi | |
Kufunga kwa protini | >99%[1] |
Kimetaboliki | Hidroksilishaji (CYP3A4) kisha muunganiko (glukuronidishaji, sulfatishaji)[1] |
Nusu uhai | Masaa ishirini [1] |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Visawe | SCY-078 |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | C44H67N5O4 |
|
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuhara, kichefuchefu, maumivu ya tumbo na kizunguzungu.[1] Matumizi yake wakati wa ujauzito yanaweza kumdhuru mtoto.[1] Hii ni dawa ya kuua fangasi ya aina ya triterpenoid, na hufanya kazi kwa kuzuia glucan synthase, ambayo huzuia uundaji wa ukuta wa seli ya ukungu.[1]
Ibrexafungerp iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2021.[1] Dawa hii haikuwa imeidhinishwa barani Ulaya au Uingereza kufikia mwaka wa 2022.[2] Nchini Marekani, kozi ya kimatibabu iligharimu takriban dola 500 kufikia mwaka wa 2022.[3]
Tanbihi
hariri- ↑ 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 "Brexafemme- ibrexafungerp tablet, film coated". DailyMed. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 12 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid<ref>
tag; name "PI2022" defined multiple times with different content - ↑ "Ibrexafungerp". SPS - Specialist Pharmacy Service. 2 Agosti 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ibrexafungerp". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)