Idarucizumab
Idarucizumab, inayouzwa kwa jina la chapa Praxbind, ni dawa inayotumika kubadili athari za dabigatran, [1] ambayo hutumiwa ikiwa damu inatoka kwa wingi au upasuaji wa haraka unahitajika.[1] Dawa hii inatolewa kwa njia ya sindano kwenye mshipa.[2]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu ya kichwa, kichefuchefu na kuvimbiwa choo.[1] Madhara yake makubwa yanaweza kujumuisha mabonge ya damu na athari za mzio.[1] Ni kingamwili ya monokloni ambayo hufanya kazi kwa kuifunga na kuzima dabigatran (dawa ya kupunguza kuganda kwa damu).[1][3]
Idarucizumab iliidhinishwa kwa matumizi ya matibabu nchini Marekani na Ulaya mwaka wa 2015. [1] [3] Nchini Uingereza inagharimu NHS takriban £2,400 kwa dozi kufikia 2021. [2] Kiasi hiki nchini Marekani kinagharimu takriban dola za Kimarekani 4,500. [4]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 "Praxbind- idarucizumab injection". DailyMed. 1 Desemba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 131. ISBN 978-0857114105.
- ↑ 3.0 3.1 "Praxbind EPAR". European Medicines Agency (EMA). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Oktoba 2020. Iliwekwa mnamo 16 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Praxbind Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 25 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Idarucizumab kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |