If I Let You Go

wimbo wa Westlife

"If I Let You Go" Ni wimbo kutoka kwa Westlife, Ulitoka nchini Uingereza tarehe 9 Agosti 1999, kama kibao cha pekee, maarufu kama 'singo'. Wimbo huo ndio ulikuwa wimbo wa kumi na nne kati ya nyimbo pekee za Westlife kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza.

“If I Let You Go”
“If I Let You Go” cover
Single ya Westlife
kutoka katika albamu ya Westlife
Imetolewa Ufalme wa Muungano 9 Agosti 1999
Australia 26 Septemba 1999
Muundo CD Single
Aina Pop
Studio Sony BMG, RCA
Mtunzi Jörgen Elofsson, David Kreuger, Per Magnusson
Mtayarishaji David Kreuger, Per Magnusson
Certification Ufalme wa Muungano Silver
Mwenendo wa single za Westlife
"Swear It Again"
(1999)
(1)
"If I Let You Go"
(1999)
(2)

Wimbo huu, ulichezwa moja kwa moja katika mashindano ya urembo ya dunia mwaka 1999.

Wimbo huu uliweza kuuza zaidi ya nakala 200,000 kwa upande wa Uingereza peke yake.

Mpangilio wa Nyimbo hariri

CD Ya kwanza hariri

  1. If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
  2. Try Again - 3:35
  3. Enhanced CD

CD Ya pili hariri

  1. If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
  2. If I Let You Go (Extended Version) - 6:09
  3. Interview with Andi Peters - 7:24

CD Ya nchini Australian hariri

  1. If I Let You Go (Radio Edit) - 3:40
  2. Try Again - 3:35
  3. If I Let You Go (Extended Version) - 6:09
  4. Enhanced CD

Mtiririko wa Matamasha hariri

Nchi/Chati Ilipata
Nafasi
Australian Singles Chart 13
Belgian Singles Chart 7
Irish Singles Chart 1
Netherlands Singles Chart 19
New Zealand Singles Chart 8
Norwegian Singles Chart 1
Swedish Singles Chart 6
Swiss Singles Chart 25
UK Singles Chart 1
UK Radio Airplay Chart 7
Chati ya Mwishoni mwa mwaka 1999
Nchi Ilipata
Nafasi
Australia 95

Wafanyakazi hariri

Mapato ya nyimbo hariri

If I Let You Go
Iliyondikwa na : Jörgen Elofsson, David Kreuger, Per Magnusson
Bass : Tomas Lindberg
Recorded By (Strings) : Bernard Löhr
Try Again
Written By : Jorgen Elofsson, David Krueger, Per Magnusson
Fiddle : Ulf Forsmark
Whistle (Tin Whistle) : Jan Bengtsson
Whistle (Tin Whistle) : Jan Bengtsson
Recorded By (Strings & Tin Whistle) : Ronnie Lahti
Mastered By : Björn Engelmann

Kuteneza CD hariri

Arranged By (Strings) : Henrik Janson, Ulf Janson
Arranged And Programmed By : David Kreuger, Per Magnusson
Mixed By : Bernard Löhr
Artwork By (Design) : Root
Photography : Nicole Nodland
Acoustic Guitar, Guitar (Electric) : Mats Berntoft
Keyboards : Per Magnusson
Backing Vocals (Additional) : Anders von Hofsten (If I Let You Go), Andreas Carlsson (Try Again)
Other (Management) : Louis Walsh, Ronan Keating

Viunga vya Nje hariri

Alitanguliwa na
"When You Say Nothing at All" by Ronan Keating
UK Singles Chart number one single
8 Agosti 1999 - 15 Agosti 1999
Akafuatiwa na
"Mi Chico Latino" by Geri Halliwell