Ignacio Echeverria
Don Ignacio Echeverría Miralles de Imperial, OMC, GM (25 Mei 1978 – 3 Juni 2017) alikuwa wakili na mwanabenki wa Uhispania.
Alijulikana kwa ujasiri wake wakati wa shambulio la Daraja la London mnamo 2017, ambapo alipambana na magaidi wawili kati ya watatu waliokuwa wakishambulia raia, kabla ya kuuawa na magaidi hao. Ujasiri wake umemfanya kukumbukwa kama shujaa.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Solidaridad con Joaquín Echeverría Alonso, padre de Ignacio Echeverría" [Solidarity with Joaquín Echeverría Alonso, father Ignacio Echeverría] (kwa Kihispania). CC.OO. ENDESA. 14 Juni 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-03. Iliwekwa mnamo 2 Septemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ignacio Echeverria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |