Ignatius Ayau Kaigama
Ignatius Ayau Kaigama (alizaliwa Kona, Jimbo la Taraba, 31 Julai 1958) ni askofu kutoka Nigeria wa Kanisa Katoliki ambaye amekuwa askofu mkuu wa Abuja tangu 9 Novemba 2019. Alikuwa askofu wa kwanza wa Jalingo kutoka 1995 hadi 2000, askofu mkuu wa Jos kutoka 2000 hadi 2019, na mratibu huko Abuja kwa miezi 11 kabla ya kuwa askofu mkuu huko.
Wasifu
haririIgnatius Kaigama alisomea Upadre katika Seminari ya Mtakatifu Agustino huko Jos na kupewa Daraja Takatifu la Upadre tarehe 6 Juni 1981. Alipata Shahada ya Teolojia mwaka 1991 kutoka Chuo Kikuu cha Kipapa cha Gregorian.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Resignations and Assignments, 11.03.2019 (Press release). Holy See Press Office. 11 March 2019. https://press.vatican.va/content/salastampa/en/bollettino/pubblico/2019/03/11/190311a.html. Retrieved 9 November 2019.
- ↑ "Abuja under terrorist attacks: Archbishop decries insecurity and inequality". Church in Need. 4 Agosti 2022. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |