Igor Tamm
Igor Yevgenyevich Tamm (8 Julai 1895 – 12 Aprili 1971) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza uhusiano kati ya elektroni na nuru.
Mwaka wa 1958, pamoja na Pavel Cherenkov na Ilya Frank alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Igor Tamm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |