Inferno (kompyuta)

Inferno ni mfumo wa uendeshaji wa kompyuta unaosambazwa na Bell labs na Vita Nuova Holdings kulingana na mawazo na teknolojia kutoka Plan 9 ambayo ni mojawapo ya vitengo vya Bell labs.