Ingrid Jonker

Ingrid Jonker (19 Septemba 1933 - 19 Julai 1965) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika mashairi kwa lugha ya Kiafrikaans. Alijiua kwa kuingia na kuzama baharini.

Maandishi yakeEdit

  • Rook en oker (= Moshi na ngeu, 1963)
  • Kantelson (= Jua lililopinduliwa, 1966 baada ya kifo chake)

Angalia piaEdit

MarejeoEdit

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ingrid Jonker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.