Ishaq Abdulrazak (alizaliwa tarehe 5 Mei 2002) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Anderlecht ya nchini Ubelgiji.

Kazi hariri

Mnamo tarehe 20 Juni 2022, Abdulrazak aliondoka katika klabu yale ya awali, IFK Norrköping na kujiunga na klabu ya Anderlecht ya ligi kuu daraja la Kwanza ya Ubelgiji kwa mkataba wa miaka minne. [1]

Marejeo hariri

  1. "ISHAQ ABDULRAZAK IS A SPORTING BOY". R.S.C. Anderlecht. 20 June 2022. Iliwekwa mnamo 20 June 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishaq Abdulrazak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.