Ishirini na tatu

Ishirini na tatu ni namba inayoandikwa 23 kwa tarakimu za kawaida na XXIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 22 na kutangulia 24.

23 ni namba tasa.

MatumiziEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.