Iskirioni wa Aleksandria

Iskirioni wa Aleksandria (alifia dini Misri, 250 hivi) wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Habari zake ziliandikwa na Dionisi wa Aleksandria kwa Fabio wa Antiokia na kuripotiwa na Eusebi wa Kaisarea.

Anaheshimiwa na Wakatoliki kama Mtakatifu Mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Desemba[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.