Isolo (pia huitwa Isumbi) ni mchezo wa kiutamaduni wa mancala[1] unaochezwa na watu wa kabila la Wasukuma kaskazini mwa Tanzania.

Sheria ya mchezo zipo za aina tatu, sambamba kwa wanawake, wavulana na wanaume.

Marejeo hariri

  1. "Workshops". SavannahAfricanArt (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isolo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.