Wilaya ya Itilima

(Elekezwa kutoka Itilima)

Kwa matumizi tofauti ya jina hilo angalia Itilima (Kishapu)

Wilaya ya Itilima ni mojawapo kati ya wilaya 6 za mkoa mpya wa Simiyu, Tanzania, ambavyo vyote vilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 419,213 [1].

Itilima ni wilaya iliyojaa karibia 99% wakiwa Wasukuma waitwao Wanyantuzu, kilimo chao kikuu hasa ni mahindi, pamba, n.k.

Katika siasa UDP na CCM ndio vyama vinavyokubalika sana katika wilaya hii yenye historia ya upinzani wa kisiasa.

Makao makuu ya wilaya yako Lagangabilili.

Tanbihi

hariri
  Kata za Wilaya ya Itilima - Mkoa wa Simiyu - Tanzania  

Budalabujiga | Bumera | Chinamili | Ikindilo | Kinang'weli | Lagangabilili | Luguru | Mbita | Mhunze | Migato | Mwalushu | Mwamapalala | Mwamtani | Mwaswale | Ndolelezi | Nhobora | Nkoma | Nkuyu | Nyamalapa | Sagata | Sawida | Zagayu

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Simiyu bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.